Waefeso 1:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
ambayo aliitumia alipomfufua Kristo kutoka kwa wafu, akamweka akae mkono wake wa kulia katika enzi yake mbinguni.