Waebrania 6:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Mungu alipotaka kuwahakikishia warithi wa ahadi yake kuhusu maku sudi yake yasiyobadilika, aliwathibitishia kwa kiapo.