Waebrania 6:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu huapa kwa mtu aliye mkuu kuliko wao, na kiapo hicho huthibitisha kinachosemwa na humaliza ubishi wote.