Waebrania 3:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
lakini Kristo alikuwa mwaminifu katika nyumba ya Mungu kama mwana. Na sisi ni nyumba yake, ikiwa tutashikilia ujasiri wetu na lile tumaini tunalojivunia.

Jihadharini Na Kutokuamini