Waebrania 3:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Angalieni, ndugu zangu, asiwepo miongoni mwenu mtu ye yote mwenye moyo wa dhambi, usioamini, unaomfanya ajitenge na Mungu wa uzima.