Waebrania 13:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msiache kutenda mema na kushirikiana mlivyo navyo, kwa maana sadaka kama hizi ndizo zinazompendeza Mungu.