Waebrania 13:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema ya kuabudia hawana haki ya kula vitu vilivyowekwa juu yake.