Waebrania 12:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mtaachiwa bila kuwa na nidhamu, na kila mtu hufundishwa kuwa na nidhamu, basi ninyi ni wana haramu, si wanawe wa halali.