Waebrania 10:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kumbuka siku zile za mwanzo baada ya kupokea mwanga, jinsi mlivyovumilia mapambano makali na mateso.