Waebrania 10:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu aliyevunja sheria ya Mose aliuawa pasipo huruma kwa usha hidi wa watu wawili au watatu.