Waebrania 10:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Hili ndilo agano nitakalofanya nao baada ya siku hizo, asema Bwana. Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao na kuziandika akilini mwao.”