Waebrania 10:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila kuhani husimama siku hadi siku akifanya huduma yake ya ibada na akitoa tena na tena dhabihu zile zile ambazo haziwezi kuondoa dhambi.