Ufunua Wa Yohana 9:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waliruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano lakini wasiwaue. Na uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama uchungu wa mtu anapoumwa na nge.