Ufunua Wa Yohana 9:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waliambiwa wasidhuru nyasi za nchi, wala majani, wala mmea au mti wo wote. Bali wawadhuru wale watu wasiokuwa na muhuri wa Mungu kwenye vipaji vya nyuso zao.