Ufunua Wa Yohana 9:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nguvu ya hao farasi ilikuwa vinywani mwao na mikiani mwao; kwa sababu mikia yao ilikuwa kama nyoka wenye vichwa ambavyo vilitumika kuwadhuru watu.