Ufunua Wa Yohana 9:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Theluthi moja ya wanadamu waliu awa kwa maafa hayo matatu, yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliy otoka vinywani mwa hao farasi.