Ufunua Wa Yohana 9:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sauti hiyo ikamwambia yule malaika wa sita mwenye tar umbeta, “Wafungulie wale malaika wanne waliofungwa kwenye mto mkubwa wa Efrati.”