Ufunua Wa Yohana 6:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Anga ikatoweka kama vile karatasi inav yosokotwa; na kila mlima na kila kisiwa vikaondolewa mahali pake.