Ufunua Wa Yohana 6:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nyota zikaanguka ardhini kama vile mat unda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapoti kiswa na upepo mkali.