Ufunua Wa Yohana 3:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tazama, nasimama mlangoni napiga hodi. Mtu ye yote akisikia sauti yangu na kufun gua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.