Ufunua Wa Yohana 3:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wote niwapendao, ninawakaripia na kuwarudi. Kwa hiyo fanya bidii, utubu na kuziacha dhambi zako.