Ufunua Wa Yohana 3:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nayajua matendo yako; kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali kama ungalikuwa baridi au moto.