Ufunua Wa Yohana 21:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mji huo hauhitaji jua wala mwezi kuangaza juu yake kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake.