Ufunua Wa Yohana 21:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sikuona Hekalu yo yote ndani ya mji huo kwa sababu Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio Hekalu la mji.