Ufunua Wa Yohana 21:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo nikaona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, ukiwa umeandaliwa kama bibi harusi aliyepambwa kwa bwana wake.