Ufunua Wa Yohana 21:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikaona mbingu mpya na dunia mpya; maana mbingu ya kwanza na dunia ya kwanza zilikwisha kutoweka na bahari haikuwapo tena.