Ufunua Wa Yohana 20:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akalishika lile joka, yule nyoka wa kale ambaye ni Ibilisi au Shetani, akamfunga kwa muda wa miaka elfu moja.