Ufunua Wa Yohana 20:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikaona malaika akija kutoka mbinguni akiwa ameshika ufunguo wa lile shimo la kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi.