Ufunua Wa Yohana 20:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha mauti na kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hiki ndicho kifo cha pili, yaani ziwa la moto.