Ufunua Wa Yohana 20:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Bahari zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na kifo na kuzimu nazo zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na wote wakahukumiwa kwa matendo yao.