Ufunua Wa Yohana 15:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na Hekalu ilijaa moshi uliotokana na utukufu na uweza wake, wala hakuna mtu aliyeweza kuingia Hekaluni mpaka yale maafa saba ya wale malaika saba yakamilike.