Ufunua Wa Yohana 15:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha mmoja wa wale viumbe wanne wenye uhai, akawapa wale mal aika saba mabakuli saba ya dhahabu yalizojaa ghadhabu ya Mungu aishiye milele na milele.