Ufunua Wa Yohana 14:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi malaika huyo akauzungusha mundu wake duniani akakata zabibu za dunia, akazitia ndani ya mtambo mkubwa wa kusindika zabibu wa ghadhabu ya Mungu.