Ufunua Wa Yohana 14:18
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Na malaika mwingine, ambaye alikuwa na mamlaka juu ya moto, akatoka kwenye madhabahu akamwita yule malaika mwenye mundu mkali kwa sauti kuu, akasema, “Chukua mundu wako mkali ukayakate matawi ya mizabibu ya dunia, maana zabibu zake zimeiva.”