Ufunua Wa Yohana 11:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na mtu akitaka kuwadhuru, moto hutoka vinywani mwao na kuwateketeza adui zao. Na hivyo ndivyo atakavyokufa mtu ye yote atakayetaka kuwad huru.