Ufunua Wa Yohana 11:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Manabii hao wawili ni ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele za Bwana na mbele ya nchi yote.