Tito 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika mambo yote wewe mwenyewe uwe kielelezo cha matendo mema. Uonyeshe usa hihi na uthabiti katika mafundisho yako.