Matendo Ya Mitume 8:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wengi walipomsikiliza Filipo na kuona ishara za ajabu alizofanya, walizingatia kwa makini ujumbe wake.