Matendo Ya Mitume 8:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Filipo akamwambia, “Kama unaamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa.” Akajibu, “Naamini kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.”]