Matendo Ya Mitume 8:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule towashi akam wuliza Filipo, “Tafadhali niambie, Isaya alikuwa akisema haya juu yake mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”