Matendo Ya Mitume 8:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Malaika wa Bwana alimwambia Filipo, “Nenda upande wa kusini kwenye ile barabara itokayo Yerusalemu kuelekea Gaza.” Hii ilikuwa barabara iendayo jangwani.