Matendo Ya Mitume 5:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro akamwambia, “Anania, mbona shetani ametawala moyo wako kiasi cha kukubali kumdanganya Roho Mtakatifu, ukaficha sehemu ya fedha ulizopata?