Matendo Ya Mitume 5:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Anania, kwa makubaliano na mkewe akaficha sehemu ya fedha alizopata, akaleta kiasi kilichobakia kwa mitume.