Matendo Ya Mitume 5:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakasema, “Tumekuta milango ya jela imefungwa sawasawa, na maaskari wa gereza wamesi mama nje ya milango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu ye yote ndani.”