Matendo Ya Mitume 5:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wale maafisa wal iotumwa walipoingia gerezani hawakuwakuta wale mitume mle. Kwa hiyo wakarudi kutoa ripoti kwa baraza.