Matendo Ya Mitume 4:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakawaleta wale mitume wawili katikati yao wakawauliza, “Ni kwa uwezo gani au mmetumia jina la nani kufanya jambo hili?”