Matendo Ya Mitume 4:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wala hakuwepo mtu ye yote miongoni mwa waamini aliyepungukiwa na kitu kwa sababu wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliuza vyote wakaleta fedha waliyopata