Matendo Ya Mitume 4:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipokwisha kusali, nyumba waliyokuwa wamekutania ikatikisika na wote wakaja zwa na Roho Mtakatifu, wakahubiri neno la Mungu kwa ujasiri.