Matendo Ya Mitume 3:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu za kukupa, lakini nitakupa kile nilicho nacho. Kwa jina la Yesu wa Nazareti nakuamuru, tembea!”