Matendo Ya Mitume 3:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu alipomfufua mtumishi wake alimtuma kwenu kwanza ili awaletee baraka kwa kuwawezesha kuacha uovu wenu.”